#SwahiliRap Instagram Photos & Videos

SwahiliRap - 576 posts

Advertisements

Advertisements

Advertisements

Advertisements

  kitu ambacho haujui kutoka kwa huyu jamaa @moh_rhymes ni mtu mwenye kujituma sana na kutamani kufika juu zaidi kwenye kile anachofanya kwenye Muziki wake, kikubwa ni  kumpa support... I mean ushauli mawazo nk hili kuweza kufanikisha ndoto zake me namwambia akaze but kwenye Biashara yake hii ya Muziki na ipo siku atatoboa na hatoamini kama ni yeye huyo huyo KeepItUp ma Nigga #SwahiliRap

  9 2 30 March, 2019

Advertisements

  #washkajizangu. -ADAM- (lyrics...) Picha linaanza kaniumba kwa mfano wake/
Kama hio haitoshi akaniumbia wanawake/
Toka ubavu wa kushoto MUNGU akafanya yake/
Kila rangi ,kila shape, makabila and i like it/
Akanipa dunia pande zote kutawala/
Kutenda yaliyo mema toka kwake kaa mshahara/
Busara' kufata amri kumi nikibugi ndio msala/
Risala' kabla ya kufanya na baada iwepo sala ,imara/
Mara namuona eva anakuja akichekacheka/
Fika karibu yangu mkononi tunda kashika/
Toka mti wa kati kaona nyoka kashoboka/
Huku anarembua hajui kama kadanganyika /
Na hapo ndipo apo zilipoanza HEKA HEKA 📝👿😈.... ( ADAM, ADAM ... UKO WAPIIIIII....... )
Sauti ikaskika niko chimbo nimejificha/
Najihisi niko uchi na nnaona mapicha picha /
Hawa , Nyoka na eva wamesha iaribu future/
Adhabu gani utakoyo nipa MUNGU baba spati picha ??... Adaaaam Adaaaaamm mbona umekula weweeee.... ???!!! Tukapewa adhabu ya kula kwa jasho/
Kuzaa kwa uchungu pia tutakula kwa macho/
Tutachea virugu na pingu nkiwa tuna hustle/
Na ntazidisha magundu nikiabudu ma freemason /
Tunakukumbuka BABA kwenye matatizo tuu/
Tunasali mchana kumbe usiku wanga tuu/
Tunakula ujana kumbe kesho giza tuu/
Tuusamee MUNGU baba ni danger ukisema suu/
Tukeshe misikiti makanisa tukisali/
Tunapo fanya makosa ni lazima tukubali/
Tukiri' kisha tujibadili/
Sio kutwa lawama na kuulizana maswali...
''(Adaaaam mbona umekula weweee..??!..)
Whaat? Hata ingekua wewe ungekula /
Labda ngezaliwa mchina may be ningemla chura/
Angalia maisha yako huu ni mda wa kumcha mola/
Na hamna nguzo imara zaidi ya kusmamisha swalah ! .... 🙏🙏🙏
No chorass only bridge 
Mistari 32 kuhusu ADAM & EVE , ADAM na HAWA ..... 16 × 16 #lyricalmudderer
#bongohiphop #bongolyrics
#lyricist #adamandeve
@nas #swahilirap #knowledge
#HIPHOP #hiphopTanzania 
They need rappers like me !....
For respect of my name and my game #adamsapple to all media

  #washkajizangu . -ADAM- (lyrics...) Picha linaanza kaniumba kwa mfano wake/

  4,106 127 25 March, 2019

Top #SwahiliRap posts